StarTimes Tanzania CEO Mr. Walker Wang na Rais wa TBF Phares Magesa wamekutana na kujadiliana namna ya kushirikiana kuendeleza mchezo wa Kikapu Tanzania.

Wadau wameaswa kujitokeza kushirikiana na TBF kuendeleza kikapu katika ujenzi wa viwanja, uendeshaji wa mafunzo kwa vijana wadogo, Makocha na Waamuzi.

Kudhamini matukio makubwa ya Kikapu hapa Tanzania tunaanda mashindano ya kimataifa ya FIBA Zone V U18 litakalo fanyika mwezi June 2018, FIBA Zone V Club Championship litakalo fanyika mwezi October 2018 na ya Kitaifa ya National Basketball League(NBL), Taifa Cup, Muungano Cup, Nyerere Cup na mengine mengi.