Wednesday Night Live Show @azam_tv. Rais wa TBF Phares Magesa (Kulia) na Rais wa Basketball Dar Es Salaam, Okare Emesu(kushoto) wakijadili mambo mbalimbali yahusuyo Basketball, kubwa zaidi ni maandalizi ya FIBA Zone V U18 (Women & Men) yatakayofanyika Dar es Salaam 17-22 June 2018.

Tunaomba wadau mjitokeze kudhamini na kusaidia kufanikisha mashindano haya, tuna upungufu wa 100M katika bajeti yetu (60M kwa mashindano na 40M kwa maandalizi ya timu zetu 2 za Taifa za vijana na vifaa vyao michezo).. Karibuni tushirikiane na mchangie.