NBA Africa Game 2018 over Team World 96 Team Africa 92, Uongozi wa TBF ulipata nafasi ya kuongea na viongozi wa NBA na wachezaji nyota wa NBA. Mchezaji toka Tanzania Jesca Ngisaise amepata nafasi ya kucheza mchezo wa utangulizi timu ya nyota wa Africa kwa Wasichana, amefanya vizuri sana, tuendelee kumuombea na kumuunga mkono na kusaidia wachezaji wengine vijana wenye vipaji kama Atiki Ally ambaye nae alikuwa ameshiriki kwenye kliniki ya Basketball Without Borders (BWB) iliyofanyika South Africa waweze kufikia malengo yao.