Breaking news
  1. TBF PRESS RELEASE
  2. MCHEZO WA NBA AFRICA 2018 NA KLINIK YA BASKETBALL ISIYO NA MIPAKA
  3. MASHINDANO YA FIBA ZONE V KWA VIJANA CHINI YA MIAKA 18 YAFIKIA KILELE
  4. Tanzania itashiriki kambi ya Basketball Without Borders (BWB)
  5. TANZANIA KUSHIRIKI MASHINDANO YA 3X3 AFRICA BASKETBALL QUALIFIERS ,MADAGASCAR

Latest News

August 16, 2018
TBF PRESS RELEASE

¬†Baada ya kushiriki kwa mafanikio katika kambi ya Basketball Without Borders (BWB) na NBA Africa Game huko Afrika Kusini mbapo Mtanzania Jesca aling’ara kwa kuchaguliwa katika timu ya All Stars iliyocheza mchezo wa utangulizi kabla ya mchezo wa NBA. Tanzania inapeleka tena vijana 13 wa chini ya miaka18 katika kambi ya Giants of Africa inayofanyika…

August 6, 2018
MCHEZO WA NBA AFRICA 2018 NA KLINIK YA BASKETBALL ISIYO NA MIPAKA

NBA Africa Game 2018 over Team World 96 Team Africa 92, Uongozi wa TBF ulipata nafasi ya kuongea na viongozi wa NBA na wachezaji nyota wa NBA.

August 6, 2018
MASHINDANO YA FIBA ZONE V KWA VIJANA CHINI YA MIAKA 18 YAFIKIA KILELE

Mashindano ya Vijana chini ya miaka 18 yafikia kilele mbele ya mgeni rasmi Mh. Waziri wa habari,Michezo na Utamaduni.

August 1, 2018
Tanzania itashiriki kambi ya Basketball Without Borders (BWB)

Tanzania itashiriki kambi ya Basketball Without Borders (BWB) na mchezo wa NBA itakayofanyika Pretoria, Afrika Kusini tarehe 1-4 August, 2018.

July 27, 2018
TANZANIA KUSHIRIKI MASHINDANO YA 3X3 AFRICA BASKETBALL QUALIFIERS ,MADAGASCAR

Timu yetu ya Taifa ya 3×3¬† ijulikanayo kwa jina la WAZALENDO inatarajia kushirki michuano ya kufuzu mashindano ya Afrika ya 3×3 itakayofanyika mwakani nchini Togo.

May 25, 2018
Maandalizi ya FIBA Zone V U18 – DSM,Tanzania 2018

Wednesday Night Live Show @azam_tv. Rais wa TBF Phares Magesa (Kulia) na Rais wa Basketball Dar Es Salaam, Okare Emesu(kushoto) wakijadili mambo mbalimbali yahusuyo Basketball, kubwa zaidi ni maandalizi ya FIBA Zone V U18 (Women & Men) yatakayofanyika Dar es Salaam 17-22 June 2018.

March 23, 2018
Waziri Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo akutana na wadau Mbeya

Waziri Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe amekutana na wadau mchezo wa Mpira wa Kikapu wa Mkoa wa Mbeya.

March 22, 2018
TBF yapokea msaada kutoka ICRC

Tanzania Basketball Federation kwa kushirikiana na Tanzania Paralympic Committee(TPC) imepokea msaada wa wheelchairs kutoka Kamati ya Msalaba mwekundu ya Kimataifa.

March 17, 2018
Tanzania yazindua msimu mpya wa Jr.NBA 2018

Kituo cha vijana cha Jakaya Mrisho Kikwete (JMK Park) kimezindua msimu mpya wa Jr.NBA leeague 2018 kwa kushirikiana na NBA Africa na TBF

March 13, 2018
StarTimes na TBF kushirikiana kuendeleza mchezo wa kikapu

StarTimes Tanzania na Tanzania Basketball Federation (TBF) zimekutana na kujadiliana namna ya kushirikiana kuendeleza mchezo wa Kikapu Tanzania.

  • 1
  • 2