Breaking news
  1. TBF PRESS RELEASE
  2. MCHEZO WA NBA AFRICA 2018 NA KLINIK YA BASKETBALL ISIYO NA MIPAKA
  3. MASHINDANO YA FIBA ZONE V KWA VIJANA CHINI YA MIAKA 18 YAFIKIA KILELE
  4. Tanzania itashiriki kambi ya Basketball Without Borders (BWB)
  5. TANZANIA KUSHIRIKI MASHINDANO YA 3X3 AFRICA BASKETBALL QUALIFIERS ,MADAGASCAR

ball

March 22, 2018
TBF yapokea msaada kutoka ICRC

Tanzania Basketball Federation kwa kushirikiana na Tanzania Paralympic Committee(TPC) imepokea msaada wa wheelchairs kutoka Kamati ya Msalaba mwekundu ya Kimataifa.