Tanzania Basketball Federation kwa kushirikiana na Tanzania Paralympic Committee(TPC) imepokea msaada wa wheelchairs 12 kutoka Kamati ya Msalaba mwekundu ya Kimataifa (ICRC) kupitia mradi wa Moveability msaada huu utasaidia mchezo wa Kikapu kwa watu wenye ulemavu Tanzania.

TBF inawashukuru kwa msaada huu mkubwa utakaosaidia kufanikisha mashindano ya Basketball ya watu wenye ulemavu katika viwanja vya JMK Park wadau karibuni na mshirikiane na TBF kuendeleza kikapu, #WeAreBasketbal